Breaking News

Your Ad Spot

Oct 9, 2012

RAIS KIKWETE AREJEA NYUMBANI LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, leo Jumanne, Oktoba tisa, amerejea  nyumbani,  akitokea katika ziara ya Kikazi ya Marekani na Ziara Rasmi ya Kiserikali ya Canada.

1 comment:

  1. Karibu nyumbani mkuu, twasubiri kwa hamu, maana uchumi wetu ndio hivyo twategemea ufadhili na kuomba omba.

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages