Waziri Mkuu, Mkuu Mizengo Pinda akiwa na wanjumbe wa Kituo cha Demokrasia (TCD) baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 8, 2012. Wejumbe hao ni viongoazi wa vyama mbali mbali vya siasa nchini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269