Breaking News

Your Ad Spot

Oct 3, 2012

WAJUMBE WA TUME YA KATIBA WAANZA TATHIMINI YA KAZI YA UKUSANYAJI MAONI


1.       WajumbewaSekretarietiyaTumeyaMabadilikoyaKatiba, MwantumuMalale (kulia), Maria Kashonda (aliyekaa), RizikiNgwali (wapilikulia), Joseph Butiku (watatukulia) naYahyaMsulwa watatukushoto) wakitazama namna sauti zenye maoni ya wananchi zinavyopokelewa katika Makao Makuu ya Tume Jijini Dar es Salaam kutoka katika mikutano inayoitishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika Mikoa mbalimbali nchini wakati waziara ya wajumbe hao leo jumatano tarehe 3. Oktoba, 2012. Kushotoni Mjumbe wa Sekretarieti yaTumehiyo, Hanifa Masaningana (wapilikushoto) ni KatibuwaTume, Assaa Rashid.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages