Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma kwa ajili ya kufungua Mkutano mkuu wa nane wa CCM, leo.Baadhi ya wajumbe ukumbini
wake wa viongozi
Waaliwa kutoka kutoka nchi za nje
Waalikwa kutoka vyama vya siasa hapa nchini
Wajumbe wakiwa wamesimama wakati wa wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mkutano huo
Watu waliokuwa nje ya ukumbi wakifuatilia kwenye banda maalum






No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269