Breaking News

Your Ad Spot

Nov 12, 2012

KINYANG'ANYIRO CHA U-NEC SHIGELA,MWIGULU NA JANUARI WAKOMAA KULINDA KURA ZAO

 Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine Shigela (kushoto) akifuatilia kwenda 'kuthibiti' kura zake zilipokuwa zikipelekwa kwenye chumba cha kuhesabia, baada ya kura hizo kupigwa
 Januari Makamba na Mwigulu Nchemba na baadhi ya wagombea wengine, wakiwa kwenye chumba cha kuhesabia kura katika kinachoonekana kujaribu 'kulinda' kura zao. Wengine ni Vijana waliokuwa wanashughulika na upigaji kura huo
 SASA UMEKOMAA!  John Shibuda wa Chadema, akimwabia Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakati waki-chati ukumbini wakati wa mkutano huo, kabla ya upigaji kura.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages