Breaking News

Your Ad Spot

Nov 6, 2012

KAWE WANAVYOTAABIKA USAFDIRI WA DALADALA

Wananchi wanaotumia usafiri wa daladala kutoka Kawe kwneda Kariakoo, bado wanakumbwa na adha ya kupata usafiri huo kutokana na daladala zinazotoa huduma eneo hilo kuwa chache kwa baadhi yake kukimbia ruti. Wakati daladala za Kawe-Kariakoop zinahesabia msafiri anaweza kukaa zaidi ya masaa matano kituoni bila kupata la kwenda posta. Pichani, abiria akidandia daladala kupitia dirishani kutokana na msongamano wa abiria kugombea kuingia. (Picha na Bashire Nkoromo wa Daily Nkoromo Blog)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages