Breaking News

Your Ad Spot

Nov 5, 2012

WATOTO KATIKA JAMII

 Bahati Mlolwa (8) akiwa amembeba mdogo wake, Manogwa Mlolwa (4) katika kijiji cha  Kakora, Wilayani Kahama mkoani Shinyanga, wiki iliyopita.
 Baadhi ya familia za wakazi wa mkoa wa Shinyanga ni wafugaji wakubwa. Pichani, Watoto wakipeleka mbuzi malishoni, katika Kijiji cha Kakora, Wilayani Kahama mkoani Shinyanga, wiki iliyopita.
 MMOJA wa watoto ambao hutumiwa na 'wazazi' kuomba omba, eneo la Fire, jijini Dar es Salaam, akipoza uchovu na makali ya jua kwa kujimwagia maji ya chupa, baada ya kukaa juani kwa muda mrefu akifanya  kazi ya kuomba fedha kwa watu katika magari yanayosimama kwenye  eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages