Breaking News

Your Ad Spot

Nov 23, 2012

KINANA AHUTUBIAMAELFU YA WATU GEITA JIONI HII

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa mpira mjini Geita, akiwa katika ziara ya mikoa minne kwa ajili kujitambulisha kama Katibu Mkuu mpya, kukagua uhai wa chama. Katika ziara hiyo, Kinana ambaye juzi alikuwa Mtwara, jana akawa Rukwa na leo mkoani Geita, kesho atamaliza ziara yake mkoani Arusha.

2 comments:

  1. UNA PROPAGANDA ZA KIZAMANI KWELI,MIMI NI MWANA-CCM MFU LAKINI HAPO SIONI MAELFU NDUGU,SIJUI HUO UANDISHI WA HABARI ULIUSOMEA WAPI!!!!!!!!!!!!!KHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  2. wewe hukuwepo, ndiyo maana unadhani ni propaganda! watu walizunguka pande zote na kamera haikuweza kuwapata wote! Pole sana kwa kuwa mwana-CCM mfu, Kaa Chonjo na Dk. Slaa anasema atawafukuza wote ambao ni wana CCM, maana mnamzingua

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages