Breaking News

Your Ad Spot

Nov 19, 2012

KUTANA NA PAKA WA ZANZIBAR

Juzi Mtayarishaji Mkuu wa Blogu hii, alikuwa Zanzibar kikazi. Alipokwenda kupata chai kwenye mgahawa mmoja maarufu, baadhi ya meza zikawa na vyombo vyenye mabaki ya vyakula vilivyoachwa na wateja .Kutokana na vyombo hivyo kuchelewa kuondolewa na wahudumu wa mgahawa huo,  alitokea paka huyu, na kuanza kujisevia mabaki ya vyakula kwenye vyombo hivyo, kama ifuatavyo;-  
 A
 B
 C
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO WA DAILY NKOROMO BLOG

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages