Breaking News

Your Ad Spot

Nov 19, 2012

HAKI ZA VIUMBE HAI KAMA KUKU HAWA HAZITEKELEZEKI?

 
Licha ya kuwepo sheria ya kutetea haki za viumbe hai ikiwemo wanyama na ndege, viumbe hao wameendelea kuteswa na binadamu kwa namna mbalimbali kwa kuwa binadamu walioweka sheria hizo hawazizingatii, kama mtu huyu alivyokutwa amewabeba kuku kwa kuwakusanya pamoja huku akiwaning'iniza vichwa chini, mjini Dodoma juzi. (Picha na Bashir Nkoromo wa Daily Nkoromo Blog)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages