Breaking News

Your Ad Spot

Nov 12, 2012

MKUTANO MKUU WA CCM LEO NOV 12, 2012

 Mwenyekiti wa CCM, Rais jakaya Kikwete akiwasili  Kizota huku akifuatana na baadhi ya viongozi wa ngazi ya juu wa Chama. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Amani Abeid Karume, Makamu wa Rais  Dk. Mohamed Gharib Bilal na kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Pius Msekwa.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akiongoza Mkutano Mkuu wa CCM leo Novemba 12. Kushoto ni Karume na kulia ni Msekwa

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akielekezwa jambo na Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete, kabla ya kuanza siku ya pili ya mkutano mkuu wa CCM, Kizota, Dodoma, leo. Kulia ni Msekwa 






1 comment:

  1. UMOJA NI NGUVU by JK Senior na sasa UMOJA NI USHINDI by JK junior safi kweli. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki CCM. AMANI kipaumbele chetu.

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages