Breaking News

Your Ad Spot

Nov 5, 2012

VODACOM NA WASHIRIKA WAKE KATIKA BIASHARA FTS SERVICES LTD WAWAPELEKA WATEJA WAO KISIWA CHA MBUDYA, DAR ES SALAAM


Hapa ndio Kisiwa cha Mbudya ambapo Vodacom imewapeleka wateja wake kwa ajili ya mapumziko ya week end jumamosi ya jana. 
Utambulisho wa Voda kwenye kisiwa hicho


Wateja na wafanyakazi wa vodacom
Kushoto ni Steve Goyayi kutoka Stanbic Bank, wa tatu kutoka kushoto Asubisye Mwakatobe kutoka Vodacom na wengine ni baadhi ya wageni washiriki kutoka world Bank
Katikati ni Abdallah Singano kutoka Stanbic na kulia ni CEO wa MSD
Wadau wakiwa kwenye boti maalum
Kutoka kushoto Steve Goyayi, Henry Kapinga na Abdallah Singano
Baadhi ya wafanyakazi kutoka Vodacom 
Kushoto ni Idd Mbita Mkurugenzi wa FTS Services akiwa na Joseph Kusaga CEO wa Clouds FM na TV mwenye Tshirt ya kijani.
Wateja na wafanyakazi wa vodacom wakishuka kwenye boti maalum iliyokodiwa kwa ajili yao.
Kulia ni Henry Kapinga meneja mauzo wa FTS Services ltd akipiga picha ya kumbukumbu na CEO wa Clouds Joseph Kusaga
Wadau kutoka Vodacom wakipata vinywaji ndani ya kisiwa cha Mbudya
Rosalynn kutoka vodacom akiwashukuru wateja kwa kushiriki
Idd Mbita kutoka FTS Services akiwashukuru wateja kwa ushiriki na kuwaomba tudumishe ushirikiano wetu. Vodacom Tanzania wakishirikiana na Business Partner wake FTS Services jana waliwapeleka wateja wao katika Kisiwa cha Mbudya kilicho katika bahari ya Hindi.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages