Breaking News

Your Ad Spot

Dec 4, 2012

AIRTEL YAZINDUA PROMOSHENI MPYA KWA WATEJA KUMALIZIA MWAKA 2012


Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa promosheni mpya ya Airtel "AMKA MILIONEA" kushoto ni Meneja Huduma za Ziada Airtel Francis Ndikumwami na Afisa matukio wa Airtel kulia,  kujiunga na promosheni hiyo mteja atatakiwa kutuma neno SHINDA au WIN kwenda namba 15595 bure na atapokea maswali atakayoyajibu na kukatwa sh 350 kila sms na kupata point
zitakazomuwezesha kushinda Kwa habari zadi BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages