Breaking News

Your Ad Spot

Dec 29, 2012

MKUTANO MKUU WA TASWA BAGAMOYO

Ridhiwani Kikwete, akizungumza wakati akifungua rasmi mkutano Mkuu wa Chama cha Waandishi wa habari za michzo Tanzania TASWA, uliofanyika kwenye Hoteli ya Kiromo, mjini Bagamoyo leo mchana.
Katibu Mkuu wa TASWA Amir Mhando akizungumza kwenye mkutano huo

Baadhi ya wanachama wa TASWA wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya Kusaidia timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys, Ridhiwan Kikwete, mara baada ya kumalizika kwa mkutano Mkuu wa Mwaka wa Taswa uliofanyika leo mjini Bagamoyo.
Baadhi ya wanachama wa TASWA wakisebeneka na muziki wakati wa mjda wa jioni baada ya kuwasili kwenye Hoteli ya Kiromo, mjini Baagamoyo jana jioni.Kutoka kushoto ni Somoe Ng'itu, Hadija Khalili' Zena Chande na Angela Msangi
Shafii Dauda akiwa na Asha Muhaji.
Baadhi ya wanachama wakifuatilia mkutano huo wakati ukiendelea katika Hoteli ya Kiromo mjini Bagamoyo leo mchana.



Amir Mhando, akichangia mada.....

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages