Breaking News

Your Ad Spot

Dec 22, 2012

MUSIC FESTIVAM 2012: BANANA ZORRO NA B BAND

Baada ya kufanya mambo mengi kwa ajili ya ujenzi wa Taifa na wewe mwenyewe binafsi, bila shaka ungependa kupata burudani. Kama utapata wasaa huu basi ipate  hii video ya Muziki live aliofanya mwanamuziki Banana Zorro na bendi yake ya B Band kwenye Tamasha la Muziki wa dansi lililofanyika Leaders Club Kinondoni , Dar es salaam tarehe 28 & 29 September 2012. Mwanamuziki huyu ni mahiri sana kwa huu muziki wa Live. BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages