Breaking News

Your Ad Spot

Jan 22, 2013

BALOZI WA UINGEREZA AMTEMBELEA KINANA LEO


KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Uingereza hapa nchini,
Diane Corner aliyemtembelea leo, Januari 22, 2013, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, na kuwa na mazungumzo maalum







KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na mgeni wake, Balozi wa Uingereza hapa nchini, Diane Corner, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 22, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na kulia ni Mkuu wa Mawasiliano na  Siasa wa Ubalozi huo,  Mark Polatajko.

Kinana akiagana na mgeni wake baada ya mazungumzo. Wapili kulia ni Dk. Asha-Rose Migiro na Kulia ni Mkuu wa Siasa na mawasiliano wa Ubalozi huo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages