Breaking News

Your Ad Spot

Jan 12, 2013

HOTUBA YA RAIS KIKWETE UZINDUZI WA UJENZI DARAJA MBUTU, IGUNGA MKOANI RABORA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa darala la Mbutu wilayani Igunga katika mkoa wa Tabora Januari 7, 2013. Kukamilika kwa ujenzi wa daraja hili mnamo Novemba mwaka huu kutakuwa ukombozi mkubwa kwa wananchi wa eneo hilo na mikoa ya jirani

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages