Breaking News

Your Ad Spot

Jan 24, 2013

KILIMO CHA MPUNGA

WATOTO wa kijiji cha Luchili wilayani Sengerema wakiandaa shamba kwa jili ya kupanda mpunga Januari 22, 2013. Zao la Mpunga  hivi sasa linalimwa na wananchi wengi wa mikoa ya Mwanza na Shinyanga kwa ajili ya chakula na Biashara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages