Breaking News

Your Ad Spot

Jan 26, 2013

SAFARI KWA TRENI KINANA NA SEKRETARIETI YA CCM DAR-KICOMA

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa-saluti wananchi jana, baada ya kupanda treni jijini Dar es salaam kwa ajili ya kwenda Kigoma kwenye sherehe za miaka 36 ya CCM. Wapili kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye, akipanda treni hiyo.
 Kinana na Katibu wa NEC, Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro na Nape wakiwasalimia wananchi baada ya kuwasili stesheni ya Kigoma muda mfupi kabla ya safari
 Kinana (kulia) akizungumza na wananchi hasa wana-CCM kwenye stesheni ya Dar es Salaam, kabla ya yeye na ujumbe wake kuanza safari kwenda Kigoma, jana
 Wananchi wakiauaga msafara wa Kinana
Dk. Migiro akiaga wananchi stesheni ya Dar es asalaam

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages