Breaking News

Your Ad Spot

Jan 26, 2013

KINANA NA MSAFARA WAKE KWA TRENI ULIPOFIKA MORO NA DODOMA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi baada ya msafara wake kufika stesheni ya Morogoro wakiwa njiani kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma
 Dk Migiro akisalimia wananchi Morogoro
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimia wananchi Stesheni ya Morogoro terni ilipofika jana saanne usiku
 Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha Rose akisalimia wananchi Morogoro
Kinana na ujumbe wake wakaiwaaga wananchi  mjini Morogoro
Kinana na msafara wake wakiwa Stesheni ya Dodoma leo asubuhi

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages