Breaking News

Your Ad Spot

Jan 18, 2013

MWISHO LEO KUFUCHUKUA FOMU ZA KUOMBA UONGOZI TFF

*RWIZA, LIUNDA KUSIMAMIA MECHI ZA CAF
*WATANZANIA KUZICHEZESHA URA, COTTON SPORT

*KIM AZIFUATA IVORY COAST, MOROCCO AFCON
Boniface Wambura
NA BONIFACE WAMBURA,  OFISA HABARI, TFF 
Wanamichezo 45 wamechukua fomu kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) utakaofanyika Februari 24 mwaka huu. Nafasi zinazowaniwa ni Rais, Makamu wa Rais na wajumbe wa Kamati ya Utendaji kuwakilisha kanda 13 tofauti.

Waombaji wapya 11 waliojitokeza leo (Januari 18 mwaka huu) ni Richard Rukambura anayeomba urais wakati kwa upande wa ujumbe wa Kamati ya Utendaji ni>>>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages