Breaking News

Your Ad Spot

Jan 2, 2013

POLISI ALIYEFIA KATIKA OPERESHEN DARFUR SUDAN AZIKWA DAR

Maofisa wa Polisi wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa Mrakibu Mwandamizi  wa Polisi EX SSP Hawa Luzy aliyefia Darfur Sudan alipokuwa amekwenda kwa ajili shughuli za ulinzi wa amani katika jimbo hilo.Ofisa huyo alizikwa jana katika makaburi ya Kisutu. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages