Breaking News

Your Ad Spot

Jan 2, 2013

PROF. MUHONGO ASHUKA NA TAARIFA YA SERIKALI KUFAFANUA KUHUSU MIRADI YA UTAFUTAJI NA UVUNAJI WA GESI ASILIA NCHINI


DAR ES SALAAM, Tanzania
Kufuatia kuzuka maandamano na mijadala kuhusu miradi ya utafutaji na uvunaji wa gesi nchini, Waziri wa Nishati na Madini Prof. Mhongo (pichani) ameshuka mzima mzima na kutoa taarifa ndefu kwa umma kufafanua mambo mbalimbali kuhusiana na sakata hilo. Mdau, Taarifa hii tumeitoa kama tulivyoipata na ni hii ifuatayo: BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages