Breaking News

Your Ad Spot

Jan 27, 2013

RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA APRM NA AU JIJINI ADDIS ABABA

 Rais  Jakaya Mrisho  Kikwete akihutubua  mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) baada ya kuwasilisha ripoti ya Tanzania usiku wa kuamkia leo Januari 27, 2013 katika makao makuu ya nchi za Afrika jijini Addis Ababa.
 Rais  Jakaya Mrisho  Kikwete  akitoka ukumbini na ujumbe wake baada ya kuhutubua  mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Wanachama wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) baada ya kuwasilisha ripoti ya Tanzania usiku wa kuamkia leo Januari 27, 2013 katika makao makuu ya nchi za Afrika jijini Addis Ababa.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wa nane toka kulia, akiwa na viongozi wenzake katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa 18 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa leo Januari 27, 2013.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages