Breaking News

Your Ad Spot

Jan 27, 2013

PINDA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA, ASASI MBALIMBALI NA MAIMAMU MKOANI MTWARA KUHUSU MGOGORO WA GESI,

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa Vyama vya siasa naasasi mbalimbali kuhusu mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa  VETA mjini Mtwara leo.PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizunguma na Maimamu wa mkoa wa Mtwara kuhusu mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa veta mjini Mtwara Januari 27, 2013. (Picha na Ofisi yaWaziri Mku
Baadhi ya maimam wa mkoa wa Mtwara wakiomba dua kabla  ya kikao chao na Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda kuhusu Mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa VETA mjini Mtwara Januari 27, 2013. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages