Breaking News

Your Ad Spot

Jan 12, 2013

SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ZAFANYIKA LEO

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua gwaride rasmi, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar, leo kwenye Uwanja wa Aaman mjini Zanzibar. Kuona picha kibao za tukio hili, Tafadhali BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages