Breaking News

Your Ad Spot

Jan 17, 2013

VYANZO VYA FOLENI ZA DAR ES SALAAM NI VINGI..

 
Abiria katika daladala lililokuwa linasafiri kutoka Mwenge kwenda Kariakoo, wakiwa wamekwama kuendelea na safari baada ya daladala hiyo, kugongangana na gari ndogo, eneo la Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam, asubuhi hii. Mbali ya kusababisha adha kwa abiria pia tukio hilo lilisababisha foleni kutokana na magari mengine kushindwa kupita.
Dereva wa daladala na wa gari dogo wakijaribu kutafuta suluhu kabla ya Polisi wa Usalama Barabarani kufika eneo la tukio.(Picha zote na Bashir Nkoromo)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages