Breaking News

Your Ad Spot

Jan 17, 2013

KAMA UNAMKUMBUKA ZAMOYONI MOGELLA

Mchezaji wa zamani wa timu ya Simba na baadaye Yanga kwenye miaka ya 1980, Zamoyoni Mogella akikatiza mitaa ya Lumumba jijini Dar es Salaam, asubuhi hii, leo, akiwa na mtoto wake Falshady Mogella (19). Baada ya kustaafu masuala ya soka sasa Mogella anafanya shughuli zake binafsi ambazo amezielezea kwamba zimezidi kuimarisha maisha yake na kwamba hayo ni matunda ya kujipanga katika maisha hasa kwa wanamichezo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages