Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akifafanua hoja ya Serikali ya Mfuko wa Mikopo kwa Vijana leo Bungeni mjini Dodoma.
Wabunge Ester Bulaya (Viti maalumu ) na Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (Kikwajuni) kulia wakielekea ndani ya Ukumbi wa Bungeleo Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akitoa miongozo mbalimbali Bungeni leo.
Wabunge Hamis Kigwangala(Nzega) pamoja na Juma Nkamia(kushoto) Kiondoa Kusini- wakiunga mkono Bungeni leo.
Mbunge wa (Ubungo) John Myika akiwasilisha hoja binafsi juu ya kuboresha upatikanaji wa maji safi na ushughulikiaji wa maji taka katika jiji la Dar es salaam Bungeni leo.PICHA ZOTE NA MWANAKOMBO JUMAA- MAELEZO.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot





No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269