Breaking News

Your Ad Spot

Feb 4, 2013

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UKARABATI NA UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA JIONI HII

Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua mradi wa ukarabati na upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma, katika hafla iliyofanyika jioni hii kwenye uwanja huo mjini Kigoma. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Dk. Amani Kaboruou na Waziri wa Ujenzi Dk. Harison Mwakyembe na Wanne kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Philipe Dongier. Kwa mujibu wa Dk. Mwakyembe mradi huo umepangwa kukamilika  June mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages