Breaking News

Your Ad Spot

Feb 13, 2013

KATIBU WA BUNGE ATOA UFAFANUZI WA MKUTANO WA BUNGE ULIOMALIZKA DODOMA, AKIRI BAADHI YA WABUNGE KUKIUKA KANUNI.


Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashilila akitoa somo kwa waandishi wa habari kuhusu umuhimu wa wabunge kuzisoma na kuzitumia ipasavyo  kanuni za bunge ili kuondoa manug'uniko yanayojitokeza pindi wanapozuiliwa na spika kuchangia mijadala au kutoa hoja bungeni kwa sababu ya kukiuka kanuni na umuhimu wa waandishi wa habari  kuzitumia taarifa rasmi za bunge katika utoaji wa taarifa zao.

 Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashilila akitoa ufafanuzi kwa  waandishi wa habari kuhusu ukiukwaji wa kanuni za bunge uliofanywa na baadhi ya wabunge wakati wa mkutano wa 10 wa bunge uliomalizika mjini Dodoma na mabadiliko yaliyofanyika kwa baadhi ya kamati kuondolewa  pamoja na uundwaji wa kamati mpya 3 zitakazoshughulikia Ushirikiano wa Afrika, Mashariki, Bajeti na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. PICHA; AARON MSIGWA WA MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages