Rais Mwai Kibaki wa Kenya akifunua pazia, akishuhudiwa na mwenyeji
wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe
Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akizindua rasmi
jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara
ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.
|
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269