Breaking News

Your Ad Spot

Feb 18, 2013

TRAFIKI ANAPOJITOLEA KUFANYA KAZI YA ZIADA

WATOTO, NANI ANAJUA JINSI YA KUVUKA BARABARA KWA USALAMA? Watoto wa kijiji cha Kikwetu, Kata ya Mbaje, wilaya ya Lindi mjini wakinyoonyesha vidole kutoa jibu baada ya kuulizwa swali na Polisi Salmon Omanda wa Kituo cha Polisi Lindi mjini, alipoamua kutoa twisheni ya bure kwa watoto hawa aliowakuta  eneo hilo wakati msafara wa Mke wa Rais Mama Salma Kikwete aliokuwa akisindikiza ulipofika katika kijiji hicho leo
'Mnavuka hivi" akiwaonyesha watoto hao

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages