Breaking News

Your Ad Spot

Feb 24, 2013

UNAYAKUMBUKA MASHATI YA TLABLA AU JULIANA?

Mkazi wa kijiji cha Kikwetu, wilaya ya Lindi mjini, akiwa amevaa shati la Trambula wakati wa mkutano wa Mjumbe wa NEC, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete uliofanyika kwenye kijiji hicho juzi. Mashati ya aina hii yalipata kuwa maarufu sana katika miaka ya 1980. Yalipatikana zaidi kutoka Zaire ya wakati huo, sasa Congo-DRC, Burundi, Rwanda na Uganda. Mbali ya jina la TRAMBLA, mashati haya pia yaliitwa JULIANA na EAGLE

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages