Breaking News

Your Ad Spot

Feb 18, 2013

UWEKEZAJI NDIO HUU LINDI!!!!!!!!

Hili ni moja ya magofu ya nyumba za yaliyokuwa mashamba ya mkonge ya Amboni 'Amboni Estate' yalivyo sasa baaada ya mashamba hayo kufungwa kwa miaka mingi sasa na licha ya kubinafsishwa kwa kiwanda cha TASCO, hakuna manufaa yanayoonekana kutokana na mashamba hayo kutoendelezwa. Inadaiwa kwamba mwekezaji huyo baada ya kununua eneo la magofu hayo amelitumia kupata mkopo tu, huku akitelekeza wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi kwenye mashamba hayo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages