Breaking News

Your Ad Spot

Feb 14, 2013

WARSHA YA MAOFISA WA MNAZINGIRA WA MAJIJI YA MWANZA,MBEYA, ARUSHA NA TANGA KUKUZA UELEWA WA KUANDAA TAARIFA YA HALI YA MAZINGIRA

 Baadhi ya Maafisa Mazingira wa Majiji Wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais[pichani hayupo] alipokua anafungua Warsha ya Majiji kuhusu Kukuza Uelewa wa Kuandaa Tarifa ya Hali ya Mazingira ya Majiji iliiofanyika kwenye Hotel ya Giraffe Jijini Dar es Salaam.
 -Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Sazi Salula akifungua Warsha ya Maafisa Mazingira wa Majiji  kuhusu kukuza uelewa wa kuandaa taarifa ya Hali ya Mazingira   kwa  Majiji ya Mwanza,Arusha, Mbeya na Tanga. Warsha hiyo iliyofanyika Giraffe Hotel, Dar es Salaam
 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula akiwa katika Picha ya Pamoja na Washiriki wa Warsha ya Maafisa wa Mazingira wa Majiji ya Mwanza,Arusha,Tangana Mbeya Warsha imefanyika kwenye Hotel ya Giraffe Jijini Dar es Salaam.
DSC338 Katibu Mkuu Ofis ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Mazingia UNEP Bi Clara Makenya Mara baada ya Ufunguzi wa Warsha ya Maafisa wa Mazingira waMajiji.[Picha na Ali Meja]

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages