Breaking News

Your Ad Spot

Feb 13, 2013

YANGA IMEIKAMUA AFRICAN LYON 4-0 JIONI HII

KLABU ya soka ya Yanga imeendeleza mauaji katika Ligi Kuu ya Bara baada ya leo kuitandika African Lyon mabao 4-0 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Yanga imefikisha pointi 36 na kuzidi kujikita kileleni mwa ligi hiyo, wakati Lyon nayo imezidi kudidimia mkiani mwa ligi.  HABARI ZAIDI NA PICHA INGIA KWENYE UKURASA WETU WA SPOTI AU BOFYA TU HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages