Watu wakiwa wamekaa kwa mamalishe huku mmoja akipata chai, chini ya jengo la Ghorofa ambalo ujenzi wake unaendelea mtaa wa Swahili, Kariakoo jijini Dar es salaam leo asubuhi. Mbali na madhara yanayoweza kuwapata kutokana na kuporomoka kwa jengo hilo kama ambavyo imetokea hivi karibuni kwa jengo moja jijini humo, wanaweza kudhurika pia kwa kuangukiwa na vitu vigumu vinavyotumika kwenye ujenzi.
Mwingine akiwa katika mazungumzo na wenzake wakati kushoto ameandaa jiko la kuchoma mahindi ya kuuza chini ya jengo hilo leo asubuhi
Jengo lenyewe ni hili hapa. PICHA ZOTE: BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269