Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes kwa hotuba nzuri katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes aliyemponegza kwa hotuba nzuri ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia huku Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes na Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lendhardt wakimponegza kwa ishsra hiyo ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe huku akishuhudiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes na Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lendhardt wakishuhudia uzinduzi huo wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) Bw. Daniel Wolde Johannes katika picha ya pamoja na viongozi na wadau mbalimbali katika sherehe ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka baada ya uzinduzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili ya serikali ya Marekani kupitia MCC leo April 10, 2013 katika kijiji cha Mkoka, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU
Your Ad Spot
Apr 11, 2013
Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA UKARABATI NA UPANUZI WA MIUNDOMBINU YA KUSAMBAZA UMEME MKOANI DODOMA LEO APRIL 11, 2013
RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA UKARABATI NA UPANUZI WA MIUNDOMBINU YA KUSAMBAZA UMEME MKOANI DODOMA LEO APRIL 11, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269