Breaking News

Your Ad Spot

Apr 18, 2013

MKUTANO WA CCM GAIRO WATIKISA

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana  akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara jioni hii kwenye uwanja wa shule ya msingi Gairo B, Gairo, mkoani Morogoro.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye  akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM kwenye  uwanja a shule ya Msingi Gairo B, mjini Gairo mkoani Morogoro jioni hii.
 Wanachi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo
  Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiujaribu upinde baada ya kukabidhiwa kama ishara ya heshima na wazee wa gairo mkoani Morogoro kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya shule ya msingi Gairo B,jioni hii
 Aliyekuwa Mweyekiti wa Chadema Kata ya Mkalama gairo mkoani Morogoro, Zefania Magida akikaboidhio kadi yake kwa Kinana baada ya yeye na wenzake 689 kutangaza kuhamia CCM katika kutano wa hadhara uliofanyika jioni hii kwenye uwanja wa shule ya msingi Gairo B,wilayani Garo mkoani Morogor
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akifunbgua shina la wakereketwa wa CCM la Zalubunga Kisdiwani mjini Kilosa leo jioni.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages