Breaking News

Your Ad Spot

Apr 26, 2013

WATANZANIA WALIOKO UJERUMANI KUSHEREHEKEA MIAKA 49 YA MUUNGANO

Mwenyekiti wa UTU, Ndugu Mfundo

Watanzania  wanaoishi Ujerumani kusherehekea miaka 49 ya Muungano,Mjini Kolon,
Siku ya Jumamosi 27.04.2013.

Taarifa iliyotolewa na Ndugu Mfundo ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Tanzania Ujerumani (UTU) Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) imesema sherehe hizo ambazo zinafanyika leo jijini Dar es Salaam, wao UTU wao watafanya rasmi kesho Jumamosi.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo Watanzania wote na marafiki wa Tanzanzania
wanaoishi ndani na nje Ujerumani wanakaribishwa.

"Umoja ni Nguvu ! Utengano Ni Udhaifu,
 Chereko Chereko na mwenye mwana
 Watanzania jitokezeni kwa wingi", linahamasisha tangazo hilo. 

Kwa mawasiliano zaidi:  kamati.utu@googlemail.com

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages