Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mpendae, Salim Hassan Abdullah Turky kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 10, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Viti Maalum, Zarina Madabida wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Aprili 10, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid (kulia) , Mbunge wa Kilindi Beatrice Shellukindo (Wapili kulia) na Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Kawawa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 10, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot



No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269