Breaking News

Your Ad Spot

May 2, 2013

MHASHAMU TITUS ASIMIKWA KUWA ASKOFU MSAIDIZI DAR

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na MwadahamaPolycarp Kaldianali Pengo (kushoto) wakishuhudia wakati Mhashamu Titus Mdoe, Askofu Msaidi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam katika Ibada ya kumsimika Askofu huyo zilizofanyika kwenye viwanja vya Msimbazi Centre jijini Dar es salaam Me 1, 2013. (Picha na  Ofisiya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es slaam, Mhashamu Titus Mdoe katika ibada ya kumsimika askofu huyo iliyofanyika kwenye viwanja vya Msimabazi Centre jijini Dar es salaam, Mei 1, 2013 . kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es slaam, Mhashamu Titus Mdoe katika ibada ya kumsimika askofu huyo iliyofanyika kwenye viwanja vya Msimabazi Centre jijini Dar es salaam, Mei 1, 2013 . kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda. (picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages