Breaking News

Your Ad Spot

May 2, 2013

RAIS KIKWETE KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANUAKAZI DUNIANI, MJINI MBEYA

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi wengine kuimba wimbo wa 'Solidarity Forever' wakati wa maadhimisho ya Sikuukuu ya Wafanyakazi duniani iliyofanyika kitaifa mkoani Mbeya. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TUCTA Philemon Mgaya, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Waziri wa Kazi na ajira Mhe.Gaudensia Kabaka, Kaimu Rais wa TUCTA Bibi Nortubunga Maskini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Mh.Abdulrahman Kinana.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages