Breaking News

Your Ad Spot

May 2, 2013

NSSF YAWAPIGA MSASA MAHAKIMU, WANASHERIA MANISPAA YA TEMEKE

 Mwanasheria Mkuu wa Shirika la Taifa Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF), Chadrick Komba akifafanua jambo wakati wa warsha iliyoandaliwa na shirika hilo kwa ajili ya mahakimu na wanasheria kutoka Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.
 Hakimu wa Mkuu Mkazi Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Aziza Kalli akichangia mada katika semina ya iliyoandaliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa ajili ya Mahakimu, Wanasheria na kufanyika jijini Dar es Salaam. 
 Baashi ya washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia mada.
 Mwanasheria Mkuu wa Shirika la Taifa Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF), Chadrick Komba akifafanua jambo wakati wa warsha iliyoandaliwa na shirika hilo kwa ajili ya mahakimu na wanasheria kutoka Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Matelekezo wa NSSF, Shabani Mpendu na Meneja Mafao wa NSSF, James Oigo. 
 Meneja Mafao wa NSSF, James Oigo akitoa mada wakati wa warsha iliyowakutanisha wadau wa sheria.
 Washiriki.

 Meneja Kiongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Sosthenes Nguma (kulia) akifuatilia mada katika warsha hiyo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages