Breaking News

Your Ad Spot

May 17, 2013

WAJUMBE WA BODI YA UDHAMINI SSRA WALIPOTEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONESHO YA WIKI YA HIFADHI YA JAMII MJINI DODOMA

Mjumbe wa bodi ya Wadhamini SSRA, Kabeho Solo akisaini kitabu cha wageni wakati wajumbe wa bodi hiyo walipotembelea banda la NSSF. Kulia ni Ofisa Mwandamizi Miradi na Uwekezaji, Gerlad Sondo na Ofisa Mwandamizi Uhusiano na Huduma kwa  Wateja, Theopista Muheta.

Ofisa Mwandamizi Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Theopista Muheta (kulia) akimkabidhi jarida lenye maelekezo ya kujiandaa kustaafu kwa mfanyakazi (staafu bila hofu), Mkurugenzi Mkuu wa SSRA,
Irene Isaka  wakati wakati wa wajumbe wa bodi ya udhamini ya SSRA walipotembelea banda la NSSF kwenye maonesho ya Wiki ya Hifadhi ya Jamii inayoendelea mjini Dodoma. Katikati ni Ofisa Mwandamizi Miradi na Uwekezaji, Gerlad Sondo. (Na Mpiga Picha Wetu)
 Ofisa Uwekezaji na Miradi Mwandamizi wa NSSF, Gerald Sondo (kushoto) akitoa maelezo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na NSSF katika maonesho ya Wiki ya Hifadhi ya Jamii.
 Wajumbe wa bodi ya Wadhamini SSRA wakitembelea banda la NSSF.
 Wajumbe wa Bodi ya Udhamini SSRA wakiwa katika banda la NSSF.
 Ofisa Uwekezaji na Miradi Mwandamizi wa NSSF, Gerald Sondo (kushoto) akitoa maelezo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na NSSF katika maonesho ya Wiki ya Hifadhi ya Jamii.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages