Breaking News

Your Ad Spot

Jun 19, 2013

JK AMEREJEA NYUMBANI KUTOKA UINGEREZA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza kwa makini Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliyempokea baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jana, akitokea nchini Uingereza, baada ya ziara ya kikazi nchini humo. PICHA NA JOHN LUKUWI

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages