Breaking News

Your Ad Spot

Jun 19, 2013

SAFARI LAGER YATANGAZA UDHAMINI WA MICHUANO YA POOL TAIFA MWAKA HUU

 Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager, leo imetangaza rasmi kudhamini mwa mara nyingine mashindano ya taifa ya mchezo wa Pool kwa mwaka huu ("Safari Lager National Pool Championships 2013). Pichani, Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizindua mashindano hayo, baada ya kutangaza udhamini, katika ukumbi wa Safari Pub, Makao Makuu ya TBL jijini, Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Chama Cha mchezo wa Pool Tanzania (TAPA) Amos Kafwinga na kulia ni Mwenyekiti wa waamuzi wa mchezo huo nchini, Hashim Shaweji.
 Mwenyekiti wa waamuzi wa mchezo huo nchini, Hashim Shaweji, akizungumza katika hafla ya TBL kutangaza udhamini huo, leo kwenye ukumbi wa Safari Pub, Makao Makuu ya TBL jijini Dar es Salaam. Wapili Kushoto ni  Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo aliyetangaza udhamini huo, na kulia ni Katibu wa Chama Cha mchezo wa Pool Tanzania (TAPA) Amos Kafwinga.
*** ZAWADI ZA WASHINDI>BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages