Breaking News

Your Ad Spot

Jun 12, 2013

MAMA SALMA KIKWETE AKIWA NEW YORK KUPOKEA TUZO MAALUM

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wake wa Marais wa Afrika wakati wa hafla ya ukaribisho iliyofanyika katika ukumbi wa UN Millenium Hotel huko New York nchini Marekani tarehe 11.6.2013.  Mama Salma yupo nchini humo kwa ajili ya kupokea tuzo maalum ya Millenium Development Goals; Women Progress Award. Wengine katika picha ni Mama Constancia Mangue Nsue de Obiang, Mke wa Rais wa Equatorial Guinea, Mrs Nana-Fosue Randal, Mwanzilishi na Rais wa Voice of African Mother's Inc.akifuatiwa na Mrs Denise Nkurunziza Bucumi na Mwisho ni Madam Traore Mintou Doucoure, Mke wa Rais wa Mali. PICHA NA JOHN LUKUWI-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages