Serikali inahimiza mashirika makampuni wafanyabiashara kutumia wasanii wa nyumbani katika matangazo na promtion mbalimbali Pichani anaonekana msanii wa kucheza na Nyoka mama Salima Moshi ( mama nyoka) akiwa Promoter enzi hizo wa Kampuni ya Bia Tanzania Akitangaza vinywaji vinavyozalishwa na TBL zikiwemo Kilimanjaro Ndovu Bingwa na nyingine nyingi akiwa amevaa fulana ya Ndovu ya TBL akishirikiana na Wasanii maarufu Nchini kwenye Promotion hiyo ya TBL enzi hizo akina Bishanga Bishaija, Rich Rich Waridi kutoka kundi la mambo hayo wengine ni ZIpompapompa, Majengo, Pangu Pakavu Mama Shunda Mzee Pembe, Mzee Sumaku Wanne Star na kundi lake je? sasa hivi Promotion kama hizi zimeishia wapi ? Na je kama zinafanyika wasanii wanalipwa inavyostaili?
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269